Watano wafariki ajalini Tunduma, watatu wajeruhiwa
Songwe. Watu watano wamefariki dunia na wengine watatu kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha gari la kubeba abiria aina ya Toyota Hiace na gari la mizigo katika eneo la Chapwa, Halmashauri ya Mji wa Tunduma mkoani Songwe. Ajali hiyo imetokea leo Agosti 27,2025 saa moja asubuhi, baada ya dereva wa gari aina ya Toyota Hiace kugongana na…