Siri ufunguzi wa Soko la Kariakoo kupigwa danadana
Dar es Salaam. Imekuwa ni ahadi hewa ya kufunguliwa soko la Kariakoo, lililokuwa katika ukarabati kwa miaka mitatu tangu lilipoungua na kuteketeza mali zote za wafanyabiashara. Soko hilo lililoungua mwaka 2021 ili kulijenga upya, Serikali ilitoa Sh28 bilioni kwa ajili ya ujenzi huo . Katika kipindi chote hicho wafanyabiashara waliokuwa wakifanya shughuli zao sokoni hapo, walihamishiwa…