Tume yamwengua rasmi Mpina kuwania urais Tanzania 2025
Dar es Salaam. Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetoa msimamo wake rasmi, ikifuta uteuzi wa Luhaga Mpina kuwa mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha ACT-Wazalendo katika Uchaguzi Mkuu wa Jumatano ya Oktoba 29, 2025. Kwa msingi huo, mamlaka hiyo imefuta barua yake ya awali ya Agosti 15, 2025 yenye kumbukumbu namba (Kumb….