Vita ya kudanki Ligi ya Kikapu Dar imehamia huku

WAKATI robo fainali ya kwanza ya Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL) ikianza, ushindani umeongezeka tofauti na mechi za mwanzo wa msimu wa mashindano hayo. Robo fainali ya BDL imezoeleka ushindani kuwa wa kawaida, lakini mwaka huu inavyochezwa ni vita na ni kama kombe liko uwanjani. Ally Issa, kocha wa kikapu kutoka…

Read More

Gamondi kuitumia Kagame kunoa makali CAF

KOCHA Mkuu wa Singida Black Stars, Miguel Gamondi amesema mashindano ya Kagame yatamsaidia kuandaa timu shindani kuelekea mechi za ligi na kimataifa. Akizungumza na Mwanaspoti, Gamondi alisema anafurahishwa na mwenendo wa maandalizi huku akidai kuwa wachezaji wake wapo kwenye hali nzuri ya ushindani matarajio yao ni makubwa. “Timu inaendelea vizuri licha ya kwamba sio wachezaji…

Read More

Msuva adai CHAN 2024 ina darasa kali

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Simon Msuva ambaye anacheza soka la kulipwa nchini Iraq katika kikosi cha Al-Talaba SC, ameeleza kuwa mashindano ya CHAN 2024 yataacha somo kubwa kwa soka la Tanzania, ambalo linaweza kuwa msingi wa mafanikio katika mashindano yajayo. Msuva ambaye kabla ya mchezo wa ufunguzi kati ya Taifa Stars dhidi ya Burkina…

Read More

Mambo matatu ya kitasa kipya Yanga

Kuna mambo yataanza kuonekana msimu ujao pale Jangwani, ambapo mastaa kibao wamesajili na kuna dalili kwamba vita ya namba, lakini namna shoo za uwanjani zitakavyokuwa. Lakini, unaposoka hapa elewa kwamba ndani ya kikosi cha Yanga kuna nyota wawili wanaounda ule ukuta wa chuma…

Read More

UN inahimiza mshikamano upya miaka nane baada ya kulazimishwa Kutoka kwa Rohingya – Maswala ya Ulimwenguni

Zaidi ya 700,000 kati yao walikimbilia Bangladesh jirani baada ya kushambuliwa kwa silaha na kikundi cha wanamgambo dhidi ya vikosi vya usalama vya Myanmar kulizua kijeshi kikatili kilichoanza tarehe 25 Agosti 2017. Walijiunga na maelfu ya wengine ambao walitoroka mawimbi ya vurugu na ubaguzi sasa wanaoishi katika kambi za wakimbizi karibu na mpaka katika wilaya…

Read More