Kihogonsi awajibu wanaoandamana CCM kupinga ‘kukatwa’ watiania
Dar es Salaam. Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kenan Kihongosi amewasititizia WanaCCM kuheshimu uamuzi wa vikao kuhusu watiania walioteuliwa na chama hicho kuwania ubunge na udiwani. Amesema kila MwanaCCM anapaswa kutambua, kuheshimu chama hicho, badala ya watu ndani ya chama, akitumia msemo wa ‘chama kwanza, mtu baadaye.’ Kihongosi ameeleza…