
Wafugaji 34,484 kunufaika na chanjo ya mifugo Handeni
Handeni. Mkuu wa Wilaya ya Handeni mkoani Tanga, Salum Nyamwese amewataka wafugaji wilayani humo kujitokeza kuchanja mifugo ili kudhibiti magonjwa ya kideri, sotoka na homa ya mapafu ambayo ndio yanayosumbua zaidi mifugo. Akizungumza wakati wa mwendelezo wa kuzindua kampeni ya chanzo ya mifugo kwenye kata mbalimbali za wilaya hiyo leo Jumatatu Agosti 25, 2025 amesema…