Lindi yataja mikakati kufanikisha upatikanaji nishati safi ya kupikia kwa bei nafuu
Lindi. Kupata nishati safi ya kupikia kwa bei nafuu ni moja ya malengo makuu ya Serikali kupitia mpango wa ruzuku unaolenga kuwasaidia wananchi kuachana na kuni na mkaa. Katika matokeo ya Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia (2024 – 2034) namba mbili, lengo ni kuongezeka kwa upatikanaji na usambazaji wa nishati…