Shilingi yapanda, wanaonufaika ni hawa
Dar es Salaam. Watanzania wanaopanga kuagiza magari, vipuri, ngano, mafuta ya kula na bidhaa nyingine kutoka nje ya nchi wanatarajiwa kunufaika na kupanda kwa thamani ya shilingi, hali itakayopunguza gharama za uagizaji wa bidhaa mbalimbali. Sarafu ya ndani imepata nguvu kubwa dhidi ya Dola ya Marekani katika miezi ya hivi karibuni. Aprili 2025, ilibadilishwa kwa…