TFS YAONGOZA TUZO YA USIMAMIZI BORA WA FEDHA 2025
Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) umeendelea kung’ara kitaifa baada ya kutwaa Tuzo ya Usimamizi Bora wa Fedha kwa Taasisi zisizo za Kibiashara 2025, katika Mkutano wa Majadiliano wa Wenyeviti wa Bodi na Wakuu wa Taasisi za Serikali (CEOs Forum 2025) uliofanyika jijini Arusha. Tuzo hiyo ilikabidhiwa leo Agosti 24, 2025 na Makamu wa…