DIT Yabuni Vifaa Maalum vya Elimu ya Vitendo, “Train Kits”
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV WANAFUNZI wa Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) wamebuni vifaa maalum vya elimu ya vitendo vinavyojulikana kama Train Kits, vilivyotengenezwa hapa Tanzania kwa kutumia rasilimali za ndani. Akizungumza kwenye maadhimisho ya Siku ya Wahandisi Kitaifa yanayoendelea Ukumbi wa Mlimani City, Hosea Kimaro, mwanafunzi wa DIT na Mkurugenzi Mtendaji wa…