Wananchi Shinyanga walia ajali za barabarani

Shinyanga. Wananchi wa Kata ya Itwangi, Halimashauri ya Wilaya ya Shinyanga, mkoani Shinyanga, wameiomba Serikali kuweka matuta katika barabara kuu ya eneo hilo kufuatia wimbi la ajali zinazodaiwa kusababisha vifo vya watu, wakiwemo wanafunzi. Wananchi hao wamesema ajali zimekuwa zikijirudia mara kwa mara kutokana na madereva kuendesha kwa mwendo kasi na kutokuheshimu alama pamoja na…

Read More

Simba kuwaaga Bocco, Mkude Simba Day

SIMBA imefichua kuwa nahodha wake wa zamani, John Bocco ‘Adebayor’ amestaafu rasmi kucheza soka la ushindani na itamuaga katika siku ya kilele cha Tamasha la Simba Day, Septemba 10, 2025. Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally amesema kuwa wanamuaga Bocco kwa heshima kwa vile ni mchezaji aliyeifanyia makubwa klabu yao. Amesema kuwa mbali na…

Read More

Hofu ongezeko gharama za kupanda ndege Tanzania

Dar es Salaam. Nauli za usafiri wa anga wa kimataifa huenda zikapanda kwa dola 45 (Sh111,250) kwa tiketi ya safari moja na dola 90 (Sh222,500) kwa safari ya kwenda na kurudi, endapo ada mpya itaanza kutumika kama ilivyopangwa. Serikali imepanga kuanza kutoza ada ya uwezeshaji abiria (Passenger Facilitation Fee) kwa wasafiri wote wa kimataifa kuanzia…

Read More

HADITHI: Bomu Mkononi (Mwisho) | Mwanaspoti

“SASA nitapata wapi huduma hizi?” Musa aliponiuliza hivyo nikanyamaza kimya. Baada ya muda kidogo nikamwambia: “Ungekuwa na ndugu yako mwanaume angekusaidia. Mimi mwanamke inakuwa ni taabu kuwa kwenye wodi hii ya wanaume.” Musa alitoa pesa kutoka kwenye begi lake alilokuwa ameliweka mchangoni mwa kitanda chake. “Hizi pesa utatumia,” akaniambia. Nilitaka nimuachie lakini nikaona nizichukue, angeweza…

Read More

Ligi Kuu Zanzibar kuanza Septemba 20

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFF), limetangaza kwamba, Ligi Kuu Soka Zanzibar (ZPL) msimu wa 2025-2026 inatarajiwa kuanza Septemba 20, 2025. Ligi hiyo inayoshirikisha timu 16 ambapo 12 za Unguja na 4 kutoka Pemba huku bingwa mtetezi ikiwa Mlandege FC, inatarajiwa kufikia tamati Mei 31, 2026. Wakati ligi ikianza Septemba 20, mchezo wa Ngao…

Read More

Mkenya anukia Tanzania Prisons | Mwanaspoti

MABOSI wa Tanzania Prisons wanaendelea kukisuka kimyakimya kikosi hicho kwa ajili ya kuleta ushindani msimu ujao na kwa sasa inafanya mazungumzo na aliyekuwa kiungo mkabaji wa KCB ya Kenya, Mkenya Michael Mutinda. Mutinda aliyezaliwa Desemba 27, 1995, ni miongoni mwa mapendekezo ya kocha mpya wa timu hiyo Mkenya mwenzake, Zedekiah ‘Zico’ Otieno, aliyetambulishwa kukiongoza kikosi…

Read More