Dk Mpango: Dhibitini ubadhirifu wa mali za umma
Arusha. Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango amewaagiza wenyeviti wa bodi na watendaji wakuu wa taasisi na mashirika ya umma nchini, kudhibiti upotevu na ubadhirifu wa rasilimali za umma pamoja na kuimarisha usimamizi wa mikataba ili kuunda mazingira ya ushindani. Dk Mpango ametoa maagizo hayo leo Jumapili Agosti 24, 2025, kwa niaba ya Rais Samia…