WASHINDI 40 WA AWAMU YA PILI KAMPENI YA KIDIGITALI ‘’MIAMALA NI FURSA ’’ YA BANK OF AFRICA TANZANIA WAZAWADIWA
Na Mwandishi Wetu WATEJA 40 wa Bank of Africa Tanzania, wamefanikiwa kujinyakulia ushindi wa shilingi 50,000 kila mmoja wao kupitia kampeni ya kupata huduma za kibenki kwa njia ya kijidigitali inayojulikana kama “Miamala ni Fursa, iliyozinduliwa miezi miwili iliyopita. Kampeni hii ya miezi mitatu iliyoanza Juni 4, 2025 imelenga kuhamasisha wateja wa benki kutumia huduma…