Kimbembe cha usafiri | Mwananchi
Dar es Salaam. Licha ya Desemba kuwa na historia ya changamoto ya usafiri kutoka Dar es Salaam kwenda mikoani, mwaka huu imekuwa zaidi ya kawaida, kwani idadi kubwa ya abiria imeshuhudiwa, huku baadhi wakikwama kusafiri. Kwa mujibu wa watoa huduma za usafiri wa mikoani, idadi ya abiria wanaosafiri sasa kutoka Dar es Salaam kwenda mikoani…