Aliyekuwa DED Kigoma jela miaka 20
Arusha/Kigoma. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kigoma imewahukumu adhabu ya kifungo cha miaka 20 jela, aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigoma Ujiji, Athuman Msabila na aliyekuwa mhazini wa halmashauri hiyo, Frank Nguvumali baada ya kuwatia hatiani kwa makosa ya kughushi nyaraka na utakatishaji wa fedha. Msabila na washtakiwa wengine 10, wakiwamo maofisa kutoka idara ya fedha…