Toldo ameibeba Madagascar mabegani | Mwanaspoti

KIPA mkongwe wa Madagascar, Ramandimbisoa Lalain’arijaka Michel ‘Toldo’, amekuwa sehemu ya mafanikio ya taifa hilo baada ya kufuzu hatua ya nusu fainali ya Mashindano ya Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN) 2024. Toldo, mwenye umri wa miaka 39 na anayekipiga klabu ya Elgeco Plus, mabingwa wa Ligi Kuu ya Madagascar na Kombe la…

Read More

CCM kuwateua wagombea ubunge, uwakilishi leo

Dar es Salaam. Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), leo Jumamosi, Agosti 23, 2025 inakutana jijini Dodoma katika kikao cha kuteua wagombea wake wa ubunge na uwakilishi katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Kikao hicho kinachoongozwa na Mwenyekiti wa chama hicho, Rais Samia Suluhu Hassan kinahitimisha michakato mirefu iliyoanza Juni 28, 2025 kwa shughuli…

Read More

Watiania ubunge, uwakilishi Chaumma kujulikana kesho

Arusha. Zikiwa zimesalia siku nne kwa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kufanya uteuzi wa watiania wa nafasi za urais, ubunge na udiwani, Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kinatarajia kupitisha majina ya wagombea wake kesho, Agosti 24, 2025, baada ya kikao chake kilichoanza leo. Vyama vya siasa nchini vinaendelea na mchakamchaka wa kuwateua…

Read More

Wasichana milioni mbili wanufaika na elimu ya stadi za maisha

‎Dodoma. Takribani wasichana milioni mbili wanaosoma elimu ya sekondari wamenufaika na mradi wa kuwawezesha kumaliza elimu yao bila vizuizi baada ya kupata elimu ya stadi za maisha iliyowawezesha kufikiria kabla ya kufanya uamuzi. ‎Aidha, elimu hiyo imesaidia wasichana wanaosoma sekondari kutoka mikoa ya Morogoro, Tanga, Pwani na Dar es salaam kupunguza utoro kutoka asilimia saba…

Read More

AAFP itakavyoimarisha utii wa Katiba, utawala bora

Moshi. Katika eneo ambalo limekuwa na mijadala kupitia vyombo vya asili vya habari na mitandao ya kijamii ni suala la utawala bora na utii wa Katiba na kwa kutambua hilo, Chama cha Wakulima (AAFP), kimeliingiza suala hilo katika ilani yake ili kulipatia mwarobaini. Katika nchi zinazofuata misingi ya utawala bora, Katiba ndiyo mamlaka ya juu…

Read More

MALEZI BORA YA WATOTO KUANZIA UMRI WA AWALI

Chuo cha Ustawi wa Jamii (ISW) ni miongoni mwa vyuo bora ambavyo vinatoa wataalamu mbalimbali wanaoisaidia jamii kutoka katika changamoto kwa kuleta suluhu hasa za kisaikolojia.  Katika kuendelea kuhudumia jamii na kuifanya kuwa bora zaidi, Chuo hicho kimeanzisha program nyingine nne mpya katika mwaka wa masomo wa 2025 /2026. Program hizo zinalenga katika kuongeza wigo…

Read More

BODI YA UTALII TANZANIA YAWAKARIBISHA MA-CEO ARUSHA KUSHIRIKI KIKAO KAZI,AWAOMBA KUTEMBELEA VIVUTIO VYA UTALII VILIVYOPO

Na Mwandishi Wetu MKURUGENZI Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Ephraim Mafuru, amewakaribisha rasmi wageni na washiriki wote wa Kikao Kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma (CEOs Forum 2025) kitakachofanyika kuanzia Agosti 23 hadi 26 , 2025 katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha AICC, jijini Arusha. Amesema…

Read More

SERIKALI YAWEZESHA HUDUMA ZA POSTA KIDIJITALI KUPITIA VIFAA VYA TEHAMA KUTOKA UCSAF

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry Silaa, amesema Serikali ya Awamu ya Sita imejipanga kuhakikisha huduma za msingi ikiwemo Posta, Mawasiliano, intaneti na huduma za kifedha za kidijitali zinawafikia wananchi wote bila kujali jiografia.  Waziri Silaa aliyasema hayo jijini Dar es Salaam, Agosti 22, 2025, katika hafla ya makabidhiano ya vifaa vya…

Read More