Mama ateketea akirudia fedha kwenye nyumba inayoungua
Shinyanga. Mkazi wa Mtaa wa Mwasele kata ya Kambarage mjini Shinyanga, Agness James (33) ameteketea baada ya kurudi ndani ya nyumba inayoungua kuchukua fedha zake. Mashuhuda wa tukio lililotokea saa saba usiku wa Desemba 16, 2025 wameeleza kuwa walisikia watu wakipiga yowe na kuomba msaada, ndipo wakaelekea eneo la tukio. Akizungumza na Mwananchi leo Desemba…