Vijana Mara wafunzwa kujikwamua kiuchumi
Musoma. Baadhi ya vijana katika Manispaa ya Musoma mkoani Mara wamesema licha ya kuelezwa juu ya uwepo wa fursa nyingi za kiuchumi bado wanakabiliwa na ukosefu wa elimu na namna ya kuzitumia, ili ziweze kuwanufaisha na kuwakwamua kiuchumi. Vijana hao wameyasema hayo leo Jumanne Desemba 16, 2025 mjini Musoma wakati wa kongamano la mabadiliko ya…