Boyeli kupishana na Muangola, kiungo mpya apewa miaka mitatu Yanga
MABOSI wa Yanga wakishirikiana na kocha mkuu wa kikosi hicho, Pedro Goncalves wameanza kupiga hesabu kali ya kuimarisha timu dirisha dogo litakalofunguliwa mapema mwakani. Katika kuhakikisha eneo la mbele linapata mtu wa maana wa kushirikiana na Prince Dube na Clement Mzize, Yanga imepiga hesabu za kumpiga chini Andy Boyeli na kushusha mashine ya maana kutoka…