Historia inawabeba, Simba katika hili itavuka
KESHOKUTWA Jumapili, Simba itacheza mchezo wa marudiano wa hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Gaborone United kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Katika mchezo huo, Simba itakuwa chini ya kocha mkuu wa mpito, Hemed Morocco ambaye ameazimwa kutoka Taifa Stars ili ainoe Simba kutokana na changamoto ambayo imeikuta hivi…