Ukame unavyozua hofu ya uhaba wa chakula nchini
Dar es Salaam. Tanzania inatabiriwa kukumbwa na hali ya ukame. Hali hiyo itaathiri uzalishaji wa chakula na kutishia kuliingiza Taifa katika uhaba wa chakula. Hiyo ni kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), iliyotabiri baadhi ya mikoa kukumbwa na mvua za chini ya wastani na wastani, na vipindi virefu vya ukavu. Mamlaka…