Mke adaiwa kujiteka, akishinikiza mume kulipa Sh10 milioni
Mwanza. Polisi Mkoa wa Mwanza linamshikilia Loveness Kisile (30), mkazi wa Mtaa wa Temeke, jijini Mwanza akituhumiwa kutoa taarifa za uongo kwa askari, ndugu, jamaa na marafiki kuwa ametekwa. Anadaiwa kutoa taarifa kwa mume na ndugu zake kwamba ametekwa na watu watatu waliotaka Sh10 milioni ili wasimdhuru na kuondoa ujauzito aliokuwa nao. Kamanda wa Polisi…