Uhamiaji yafungua Ligi Kuu Zanzibar kwa rekodi mbili
LIGI Kuu Zanzibar msimu wa 2025-2026 imeanza leo kwa kufanyika mchezo mmoja huku ikishuhudiwa Uhamiaji ikiweka rekodi mbili. Mechi hiyo iliyofanyika kwenye Uwanja wa Mao A uliopo Unguja, Uhamiaji imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Polisi. Rekodi ya kwanza Uhamiaji imeiweka kupitia mchezaji wake, Mohamed Mussa kufunga bao la kwanza la msimu akifanya…