TANZANIA YAWASILISHA MAFANIKIO YA UTEKELEZAJI WA MIKATABA

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Festo Dugange akifanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Jopo la Serikali Mbalimbali kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (IPCC) Sir Jim Skea kuhusu uwezeshwaji wa nchi uwezo wa kuandaa na uoembuzi wa taarifa za kisayansi kuhusu hali ya mazingira. Majadiliano hayo yamefanyika pembezoni mwa Mkutano wa…

Read More

Rais Dkt. Samia Apokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mabalozi wa Angola, Uholanzi, Iran, Slovakia pamoja na Namibia wanaowakilisha nchi zao Tanzania, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma

RAIS Dkt. Samia Suluhu Hassan apokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mabalozi wa Angola, Uholanzi, Iran, Slovakia pamoja na Namibia wanaowakilisha nchi zao Tanzania, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi Mteule wa Jamhuri ya Angola hapa nchini Mhe. Domingos De…

Read More

Taji la Cecafa lampa mzuka Eliza

NAHODHA wa timu ya taifa ya Tanzania ya wasichana, Elizabeth Chenge amesema ilikuwa lazima wanyakue ubingwa wa Mashindano ya Shule ya ‘CECAFA Zonal CAF African Schools Football Championship’ kutokana na historia ya Tanzania kwenye mashindano ya CECAFA. Mashindano hayo ya timu za Shule yalifanyika Uganda kuanzia Desemba 6-9 na Tanzania ilipangwa Kundi B na Ethiopia,…

Read More

UN yazindua kikosi kazi kulinda masilahi ya nchi zenye madini muhimu, Tanzania yatoa angalizo

Nairobi. Umoja wa Mataifa (UN) umezindua kikosi kazi kitakacholenga kuhakikisha nchi tajiri kwa madini muhimu (critical minerals) zinanufaika na rasilimali hizo zinazotumika katika mpito wa nishati safi. Hata hivyo, Tanzania imeunga mkono hatua hiyo ikitoa angalizo juhudi hizo zisigeuke kuwa vikwazo kwa maendeleo ya kiuchumi ya mataifa yenye rasilimali hizo. Kikosi kazi hicho (global task…

Read More

Malale, Baresi watajwa KMC | Mwanaspoti

UONGOZI wa kikosi cha KMC unaendelea na mchakato wa kusaka kocha mpya atakayerithi nafasi ya Mbrazil Marcio Maximo, huku Kocha, Malale Hamsini aliyeachana na Mbeya City hivi karibuni na Abdallah Mohamed ‘Baresi’ wakitajwa ndani ya timu hiyo. Maximo aliachana na kikosi hicho Desemba 6, 2025, baada ya kudumu kwa siku 131, tangu alipotambulishwa, Julai 28,…

Read More