Ouma aisikilizia Mapinduzi Cup 2026
BAADA ya mapumziko ya wiki moja, kikosi cha Singida Black Stars kinaingia tena kambini Desemba 14, huku kocha msaidizi wa timu hiyo, David Ouma akieleza mikakati mipya, kabla ya kurejea katika mechi za ushindani kuanzia Januari mwakani. Kikosi hicho kinarudi tena kambini ikiwa ni wiki moja imepita tangu ichapwe mabao 3-1 na TRA United zamani…