
Kocha Senegal ajishtukia CHAN 2024
KOCHA Mkuu wa Senegal, Souleymane Diallo amelia na kikosi chake kushindwana kutegua mtego dhidi ya Sudan akisisitiza kuwa ana kazi kubwa ya kufanya katika hatua ya robo fainali akihofia kukamiwa zaidi. Souleymane alisema hayo baada ya timu yake kuambulia suluhu dhidi ya Sudan akikiri kupata mchezo mgumu ambao uliifanya timu yake ishindwe kupata matokeo kucha…