Mnigeria aongeza mzuka Mtibwa Sugar
BEKI wa kati wa Singida Black Stars, Mnigeria Victor Chukwuemeka Collins amejiunga na Mtibwa Sugar kwa mkopo wa mwaka mmoja, huku kocha wa kikosi hicho, Awadh Juma ‘Maniche’, akieleza ataongeza ushindani na nyota wengine waliopo kikosini. Collins aliyezaliwa Novemba 2, 2024, katika mji mkuu wa jimbo la Enugu, Nigeria, amejiunga na Singida dirisha kubwa la…