Namna ya kumjengea mtoto nidhamu ya pesa
Katika mazingira ya maisha yanayobadilika kila siku, swali muhimu ambalo wazazi wengi hujiuliza ni hili: Je, tunawaandaa watoto wetu kukabiliana na changamoto za kiuchumi za kesho? Gharama za maisha zinaongezeka, matumizi ya pesa kwa njia za kidijitali yanakuwa ya kawaida, na watu wengi hujikuta bado wanalipa madeni wakiwa watu wazima. Katika hali kama hii, elimu…