HOROHORO JELA MAISHA KWA KUSAFIRISHA DAWA ZA KULEVYA
Na Mwandishi wetu, Michuzi Tv MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Kitengo cha Rushwa na Uhujumu Uchumi, imemuhukumu Hemed Mrisho maarufu “Horohoro” kutumikia kifungo cha maisha gerezani baada ya kupatikana na hatia ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya cocaine zenye uzito wa gramu 326.46. Aidha, Mahakama imeamuru dawa hizo za kulevya zilizokamatwa ziteketezwe na gari lililotumika…