Benki zinavyolinda na kuboresha uhai wako
Dar es Salaam. Kwa sehemu kubwa, wengi wetu tunafahamu kuwa jukumu kuu la benki ni kuhifadhi fedha, kutoa mikopo, kusimamia malipo pamoja na kutoa ushauri wa kifedha. Hata hivyo, jambo ambalo wengi hatulifahamu ni kwamba benki hizi sasa zimepewa wajibu mpana zaidi unaogusa moja kwa moja uhai na mustakabali wa kila mmoja wetu. Katika zama…