HALI YA USALAMA JIONI HII NOVEMBA 10, 2025

JESHI la Polisi linapenda kujulisha kuwa, hadi jioni hii ya tarehe 10.12.2025 hali ya nchi kiusalama ni shwari na shughuli za kiuchumi na kijamii zimeendelea kufanyika katika mazingira ya amani na utulivu. Wakati Jeshi la Polisi na Vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama vikiendelea kulinda amani, usalama wa nchi, maisha ya watu na mali zao,…

Read More

Usiku wa Ulaya kukupatia Mkwanja Leo

MECHI za Ligi ya Mabingwa Ulaya bado zinaendelea na wakali wa Meridianbet wanakwambia kuwa nafasi ya wewe kuibuka bingwa ipo hapa. Weka dau lako sasa na ubashiri mechi zote hapa. Ajax ambao mpaka sasa ndio vibonde wa kwenye ligi ya mabingwa watakuwa ugenini kukiwasha dhidi ya Qarabag FK. Tofauti ya pointi kati yao hadi sasa…

Read More

Zawadi Kila Mzunguko Na Meridianbet Holiday Drops

MWAKA unapokaribia kufungwa, msimu wa burudani huwa unaanza rasmi, na Meridianbet inageuza sherehe za Christmas kuwa safari ya bahati isiyotabirika. Kupitia Holiday Drops – Christmas Edition, ambapo kila mzunguko una nafasi ya kuacha alama ya kushangaza, kana kwamba unafungua zawadi iliyofichwa kwenye mti wa Christmas. Kuanzia 01 Desemba 2025 hadi 08 Januari 2026. Huu si…

Read More

Sowah abanwa, hatarini kufungiwa | Mwanaspoti

SIMBA kwa sasa inaugulia maumivu ya kipigo kutoka kwa Azam FC, lakini wakati wowote huenda maumivu  yanaweza kuongezeka kupitia mshambuliaji wake, Jonathan Sowah. Iko hivi. Wakati Simba inacheza dhidi ya Azam Desemba 7, 2025 na kukubali kipigo cha mabao 2-0, Sowah dakika ya 90+6 katika mechi ikiwa mwishoni alimpiga kiwiko kiungo wa Azam, Himid Mao….

Read More

Profesa Mkenda asisitiza madarasa mawili kwenda kwa mkupuo sekondari 2028

Dar es Salaam. Wakati wadau wa elimu wakionesha wasiwasi kuhusu maandalizi ya madarasa mawili yatakayohitimu elimu ya msingi mwaka 2027 na kutakiwa kujiunga na sekondari mwaka 2028, Serikali kupitia Wizara ya Elimu imeeleza kuwa inaendelea kuweka mikakati mbalimbali kuhakikisha hilo linafanyika kwa ufanisi. Kufuatia utekelezaji wa sera mpya ya elimu, elimu msingi sasa itakuwa miaka…

Read More

Nondo nne kwa madiwani Bariadi

Bariadi. Madiwani wa Halmashauri ya Mji wa Bariadi mkoani Simiyu wameapishwa wakinolewa kuhusu uadilifu, kuzingatia maadili ya utumishi wa umma, kuepuka mgongano wa masilahi na matumizi mabaya ya madaraka. Amasha Bura, Ofisa Maadili kutoka Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, amesema hayo leo Jumatano Desemba 10, 2025 walipoapishwa madiwani hao. Amesema…

Read More

Mawaziri wanne watua Pwani, wapewa kero nne

Pwani. Wawekezaji katika Kongani ya Viwanda Kwala, Mkoa wa Pwani, wamepaza sauti wakitaka kupatiwa umeme wa uhakika, maji, kuwekewa kituo cha treni ya umeme (SGR), na nafuu za kikodi walizoahidiwa mwanzoni. Wametoa changamoto hizo leo, Jumatano, Desemba 10, 2025, walipotembelewa na mawaziri wanne wa kisekta na Serikali imewahakikishia kuzitafutia ufumbuzi wa haraka. Mawaziri hao na…

Read More