NSSF YAPIGA HATUA KUBWA YA MAFANIKIO, YAFIKIA THAMANI YA TRILIONI 9.9
*Mhe. Mary Maganga aimwagia sifa, Mkurugenzi Mkuu NSSF atoa siri ya mafanikio Na MWANDISHI WETU, Kigoma. Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umepongezwa kwa mafanikio makubwa ya utendaji yaliyopatikana katika mwaka wa fedha 2024/25 kwa kufikisha thamani ya shilingi trilioni 9.9 kutoka trilioni 8.3 mwaka wa fedha 2023/24. Pongezi hizo zimetolewa tarehe 24…