TBS Kanda ya Dar es salaam yateketeza bidhaa hafifu tani 50
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limeteketeza jumla ya tani 50 za bidhaa hafifu zenye thamani ya shilingi milioni 525, ambapo kati ya hizo tani 40 zimeisha muda wake wa matumizi. Zoezi hilo la uteketezaji limefanyika leo katika dampo la Pugu, jijini Dar es Salaam, Akizungumza wakati wa tukio hilo, Meneja wa TBS Kanda ya Mashariki,…