Wanane wasimamishwa kazi kwa utendaji mbovu Mafia, Kilolo
Dar es Salaam. Viongozi wanane wa Halmashauri za Wilaya za Mafia, Mkoa wa Pwani na Kilolo, mkoani Iringa wamesimamishwa kazi kwa tuhuma za usimamizi dhaifu wa fedha za miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika wilaya hizo. Waliosimamishwa kazi ni Mkuu wa Idara ya Fedha na Ofisa Utumishi na Rasilimali Watu wa Wilaya ya Mafia na Mkuu…