Mirambo achukua mikoba ya Kidao TFF

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limemteua Oscar Mirambo kuwa Kaimu Katibu Mkuu akichukua nafasi ya Kidao Wilfred ambaye mkataba wake unafikia tamati Septemba 30 mwaka huu. Taarifa iliyotolewa leo Septemba 24, 2025 na Ofisa Habari na Mawasiliano wa TFF, Cliford Mario Ndimbo, imesema: “Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania…

Read More

Dk Mwinyi aahidi kuondoa utitiri wa kodi, kupanua wigo wa mikopo

Pemba. Mgombea urais wa Zanzibar kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Hussein Mwinyi amewahakikishia wafanyabiashara ambao hawajapata mkopo unaotolewa Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (ZEEA), watapata endapo akipata ridhaa ya kuiongoza tena Zanzibar. Pia, amesema watapunguza utitiri wa kodi ili waweze kufanya biashara zao kwa tija. Kauli hiyo ameitoa leo Septemba 24, 2025…

Read More

Takukuru kushirikiana na FIU, kuchunguza utakatishaji fedha

Dodoma. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) na Kitengo cha Kudhibiti fedha haramu (FIU) wametiliana saini mkataba wa kubadilishana taarifa nyeti. Tukio hilo limefanyika ofisi za Takukuru makao makuu Dodoma leo Jumatano Septemba 24, 2025 mkataba ukitajwa kuwa unakwenda kumaliza mapungufu ya kiuchunguzi na muda unaotumika hasa kwenye uchunguzi na utakatishaji fedha. Mkurugenzi…

Read More

Watatu walioshtakiwa kumuua bodaboda, wahukumiwa kunyongwa

Arusha. Watuhumiwa watatu kati ya wanne walioshtakiwa kwa mauaji ya dereva bodaboda, Shaban Mwalile, wamehukumiwa adhabu ya  kunyongwa hadi kufa. Mwenzao mmoja aliyekuwa ameshtakiwa nao, alihukumiwa kifungo cha miaka mitano jela baada ya kukiri kosa la kusaidia kuficha taarifa za mauaji hayo, chini ya kifungu cha 213 cha kanuni ya adhabu. Washtakiwa waliohukumiwa kunyongwa ni…

Read More

Maelfu Wajaa Ruangwa: Dk. Samia Apokelewa Kwa Shangwe

Na Said Mwishehe,Michuzi TV-Ruangwa NI upendo mkubwa kwa mgombea Urais Dk.Samia Suluhu Hassan !Ndivyo unavyoweza kuelezea namna ambavyo maelfu wananchi wa Ruangwa mkoani Lindi leo Septemba 24,2025 wamejitokeza kwa wingi katika mkutano wa kampeni wa mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) Dk.Samia Suluhu Hassan. Katika Uwanja wa Madini uliopo Ruangwa Mjini wilayani Ruangwa…

Read More

Njia ya COP30 – maswala ya ulimwengu

Mkutano huo, ambao hufanyika mnamo tarehe 24 Septemba katika makao makuu ya UN, umeundwa kama uzinduzi wa COP30 lakini, tofauti na mazungumzo ya mkutano wa hali ya hewa wa UN, hii ni tukio la kiwango cha juu ambapo wakuu wa serikali, viongozi wa serikali, biashara, na asasi za kiraia zinatarajiwa kuwasilisha ahadi za zege na…

Read More