NYAKANYENGE: DKT. SAMIA, WABUNGE NA MADIWANI WA CCM LAZIMA WASHINDE
Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji Wazazi CCM Taifa, Edwin Peter Nyakanyenge akinadi wagombea wa CCM ( Mgombea Urais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Ubunge – Patrobas Katambi na Madiwani wa CCM) wakati wa mkutano wa kampeni za Mgombea Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini uliofanyika katika kata ya Chibe. Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji Wazazi CCM Taifa,…