Minja kukabili uhaba wa dawa akikinadi Chaumma Jimbo la Hai
Hai. Mgombea mwenza wa urais kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Devota Minja ameahidi chama chake kitatua changamoto ya upatikanaji wa dawa katika hospitali na vituo vya afya nchini, ikiwamo katika Jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro, kama kitapatiwa ridhaa ya kuongoza nchi. Akizungumza leo Jumanne Septemba 23, 2025 na wakazi wa Bomang’ombe katika mkutano…