2025
RC CHALAMILA AKABIDHI MAGARI KWA WAKUU WA WILAYA UBUNGO, KIGAMBONI NA KIPA WA TAIFA STARS
::::::::::::: Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Albert Chalamila, amekabidhi magari mawili aina ya Land Cruiser Prado kwa Wakuu wa Wilaya ya Ubungo na Kigamboni yaliyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa lengo la kuwawezesha kuwafikia wananchi na kuboresha utoaji…
BALOZI MULAMULA ASHIRIKI MKUTANO WA UNGA, NEW YORK MAREKANI
Mjumbe Maalum wa Umoja wa Africa kuhusu Ajenda ya Wanawake, Amani na Usalama, Balozi Liberata Mulamula ameshiriki kwa mara ya kwanza kikao maalum cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA) kama mjumbe Mwakilishi wa Umoja wa Afrika. Mkutano huo maalum unaofanyika New York nchini Marekani, una lengo la kutathimini Mkutano wa Wanawake wa…
Zaidi ya podium – maswala ya ulimwengu
Picha ya UN/Manuel Elías Makao makuu ya UN (katikati kushoto) kama inavyoonekana kutoka kuvuka Mto Mashariki huko New York. Jumatatu, Septemba 22, 2025 Habari za UN Viongozi wa ulimwengu wanakusanyika wiki hii katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa huko New York wakati wa machafuko ya ulimwengu. Vita, umaskini, unyanyasaji wa haki za binadamu na…
WADAU MBALIMBALI WAPEWA ELIMU KATIKA BANDA LA TASAC
Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) limeshiriki maonesho ya Nane ya Teknolojia ya Madini yanayofanyika katika viwanja vya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan vilivyopo mkoani Geita kuanzia tarehe 18 hadi 28 Septemba, 2025. Wadau mbalimbali wametembelea banda la TASAC na kupata elimu ya ugomboaji wa bidhaa ikiwemo makinikia, vilipuzi na madawa yanayotumika kwenye migodi…
AKU’s F4L Project Transforms Education in Tanzania
*Revolutionizing primary education in Tanzania, one teacher at a time *A three-year journey to revolutionize primary education has culminated in a powerful success story. By Reporter The Aga Khan University’s Institute for Educational Development, East Africa (IED, EA) recently celebrated the conclusion of its groundbreaking Foundations for Learning (F4L) project (2022-2025), a pivotal initiative aimed…
NIT KUCHANGIA MILIONI MBILI BONANZA LA MIAKA 50 YA CHUO HICHO
Na Karama Kenyunko Michuzi Tv Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Dkt. Prosper Mgaya, ameahidi kuchangia kiasi cha Shilingi milioni mbili kwa ajili ya bonanza la michezo na maandalizi ya sherehe za baada ya maadhimisho ya miaka 50 ya chuo hicho. Akizungumza leo Septemba 22, 2025 wakati wa uzinduzi wa bonanza hilo ulifanyika …
MAANDALIZI YA UCHAGUZI MKUU 2025 IRINGA YAPAMBA MOTO, VIFAA VYAENDELEA KUPOKELEWA
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele leo Septemba 22, 2025 ametembelea Halmashauri ya Manispaa ya Iringa katika Jimbo la Iringa Mjini na Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo jimbo la Kilolo Mkoani Iringa ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake ya kukagua maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka…
MAKAMU WA RAIS AFUNGUA JUKWAA LA BIASHARA NA UWEKEZAJI KATI YA TANZANIA NA MAREKANI
…………… Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amesema Tanzania ipo tayari kufanya kazi kwa karibu na jumuiya ya wafanyabiashara wa Marekani pamoja na kuwezesha uwekezaji kupitia sheria zilizofanyiwa marekebisho, miundombinu iliyoboreshwa, na uchumi huria. Makamu wa Rais amesema hayo wakati akifungua Jukwaa la Biashara na Uwekezaji kati…
Lissu aomba kuirahisishia kazi Jamhuri ushahidi wa kesi yake
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, ameiomba Jamhuri isihangaike kuwaita mashahidi kuthibitisha baadhi ya vielelezo vya ushahidi katika kesi ya uhaini inayomkabili, akisema kuwa hana shida navyo. Lissu amewasilisha ombi hilo mahakamani baada ya kusomewa shtaka la uhaini linalomkabili na kujibu, kisha akasomewa maelezo ya awali ya kesi…