WAANDISHI WA HABARI WAKUMBUKISHWA KUEPUKA RUSHWA KIPINDI CHA UCHAGUZI
Katibu Mtendaji wa THBUB, Patience Ntwina akizungumza wakati wa mafunzo maalum kwa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo Septemba 22, 2025. Picha ya Pamoja. TUME ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imewataka waandishi wa habari nchini kuepuka vitendo vya rushwa, takrima na zawadi zinazoweza kuathiri weledi na uadilifu wao wakati wa…