Moto wateketeza stoo ya viatu Kariakoo
Dar es Salaam. Taharuki imetanda katika Mtaa wa Narung’ombe, Kariakoo baada ya sehemu ya jengo lenye ghorofa saba kuungua moto leo, huku chanzo cha moto kikiwa bado hakijajulikana. Moto huo umetokea leo Septemba 22, 2025 katika Mtaa wa Narung’ombe katika moja ya ghorofa linalotumika kuhifadhia mizigo ya wafanyabiashara mbalimbali waliopanga eneo la Kariakoo. Mashuhuda wamesema…