Rais Samia aendelea kupaisha utalii tiba nchini
-Globalmedicare yapongezwa kwa uratibu mzuri Na Mwandishi Wetu MADAKTARI bingwa wa hospitali tano nchini wanatarajiwa kufanya kambi ya wiki moja nchini Comoro ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais Samia Suluhu Hassan alilotoa wakati wa ziara yake visiwani humo. Hospitali tano zitakazoshiriki kambi ya mwaka huu ni Benjamin Mkapa ya mkoani Dodoma, Hospitali ya Moyo…