
Wadau wa maendeleo kujenga shule ya Sh1 bilioni Lindi
Lindi. Changamoto ya kusoma katika madarasa chakavu itakwenda kumalizika baada ya wadau wa maendeleo kutoa fedha zaidi ya Sh1 bilioni ili kuweza kujengwa kwa shule ya kisasa katika eneo la Likong’o, Manispaa ya Lindi. Akizungumza mara baada ya kutembelea majengo ya shule hiyo leo Ijumaa Oktoba 3, 2025, Mhandisi Burhan Omary amesema mradi huo wa…