2025
Fahamu Vyakula vya Kuondoa Gesi Tumboni au Kusaidia Tumbo Kujaa – Global Publishers
Last updated Sep 21, 2025 Watu wengi wamekuwa wakiniomba mada hii japo nilishawahi kuitoa huko nyuma baada ya kuhangaika sana na matumbo yao kujaa gesi na pengine kuvimba. Leo hii nitairudia kwa kuletea baadhi ya vyakula vya kuondoa hili tatizo kama linakusumbua kwa muda mrefu. Pia kuna dawa maalum. Kwa njia moja au nyingine,…
UN Chief inasikika kengele juu ya shida inayozidi kuongezeka katika El Fasher ya Sudan – Maswala ya Ulimwenguni
El Fasher amekuwa chini ya kuzingirwa kwa nguvu na vikosi vya msaada wa haraka (RSF) kwa zaidi ya siku 500, na mashambulio dhidi ya raia kuongezeka katika wiki za hivi karibuni. Wakazi wengi katika kambi ya uhamishaji wa Abu Shouk walio karibu wameripotiwa kukimbia kufuatia Shelling na uvamizi. “Mapigano lazima yasimame sasa,” Katibu Mkuu António…
Nini cha kujua mbele ya Mkutano wa UN juu ya swali la Palestina – Maswala ya Ulimwenguni
© 1949 Mpiga picha wa Jalada la UN Malori ya malori hubeba wakimbizi na mali zao kutoka Gaza hadi Hebroni katika Benki ya Magharibi. Jumapili, Septemba 21, 2025 Habari za UN Baada ya karibu miaka miwili ya vita huko Gaza, mateso ya wakaazi wake hayaonyeshi ishara ya kuwarahisisha. Wakati Israeli inapozindua eneo kuu la kukera…
MASHIMBA AZINDUA KAMPENI KWA KISHINDO KATA YA MABWEPANDE
Mgombea udiwani wa Kata ya Mabwepande kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Andrew Mashimba, leo amezindua rasmi kampeni zake kwa kufanya mkutano wa hadhara uliofanyika katika Mtaa wa Mabwepande. Katika mkutano huo, Mashimba alinadi sera na Ilani ya CCM, huku akieleza sababu zinazopaswa kuwashawishi wananchi wa Mabwepande kuendelea kuiamini CCM kuanzia ngazi ya urais, ubunge…
EY Tanzania Ripoti ya Sekta ndogo ya Benki nchini
Mhadhiri wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM), Prof. Josephat Lotto akizindua Ripoti ya Sekta ndogo ya Benki “EY Tanzania Banking Sub-Sector Report 2024,” iliyoandaliwa na Kampuni ya Ukaguzi wa Hesabu ya EY Tanzania inayochambua utendaji wa benki nchini kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita. Ripoti hii pia inaangazia mabadiliko muhimu ya kisheria na kimkakati…
Heshima uliyonipa ni ya Wanaruvuma Wote – Global Publishers
MGOMBEA Mwenza wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, amesema katika mikoa 11 ambayo tayari amefanya mikutano ya kampeni wananchi wameshasema kwamba watampigia kura za kishindo Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama hicho, Rais Dk. Samia Suluhu Hassan katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29,2025. Dk.Nchimbi ameyasema hayo leo Septemba…
TUME YAKAGUA MAANDALIZI YA UCHAGUZI MKUU MAFINGA MJI, WASISITIZWA WELEDI
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele leo Septemba 21, 2025 ametembelea Halmashauri ya Mji wa Mafinga Wilayani Mufindi Mkoani Iringa ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake ya kukagua maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 ambapo pamoja na mambo mengine alipokea taarifa ya Mji huo kutoka kwa…
Mgombea udiwani Kibosho aahidi kuboresha lishe kwa wanafunzi shule za kata
Moshi. Mgombea udiwani wa Kibosho Magharibi, Wilaya ya Moshi kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Deo Mushi, ameahidi kuwa endapo atachaguliwa kuwa diwani, asilimia 60 ya mapato yanayokusanywa kupitia Vyama vya Ushirika wa Mazao (Amcos) yataelekezwa katika kuboresha lishe ya wanafunzi kwenye shule zote ndani ya kata hiyo. Amesema kuwa, hatua hiyo inalenga kuboresha maendeleo ya…
MCHENGERWA AZINDUA KAMPENI ZA UDIWANI MSASANI, MWANANYAMALA. AMWOMBEA KURA RAIS SAMIA
Na Mwandishi Wetu Mjumbe wa Halmashauri Kuu Taifa CCM kuipitia Mkoa wa Pwani, na Waziri wa TAMISEMI, Mhe Mohamed Mchengerwa amewaomba watanzania kumpigia kura zote za ndiyo Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwa amefanya kazi kubwa ya kuwaletea watanzania maendeleo. Mhe. Mchengerwa ametoa rai hiyo leo alipokuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa kampeni za udiwani…