Mabula afichua kitu Azerbaijan | Mwanaspoti
KIUNGO wa Shamakhi FC inayoshiriki Ligi Kuu Azerbaijan, Alphonce Mabula amesema huu unaweza kuwa msimu wake bora na wenye mafanikio tangu aanze kucheza soka la kulipwa. Kabla ya kutimkia Shamakhi kiungo huyo aliwahi kuitumikia FK Spartak Subotica ya Ligi Kuu ya Serbia maarufu kama Serbian SuperLiga kwa misimu miwili. Akizungumza na Mwanaspoti, Mabula alisema msimu…