Somo kwa wale wanaowatelekeza watoto
Canada. Visa vya matajiri wakubwa watatu duniani na marais wawili wa Marekani vinasisimua, kufikirisha, na vinafundisha kwa wenye akili na busara. Marehemu Steve Jobs, mwanzilishi wa kampuni kubwa ya Apple, Jeff Bizos wa Amazon, na Larry Elison wa Oracle wanaweza kutufundisha kitu juu ya nani anapaswa au anaadhibiwa kati ya wazazi na watoto waliozaliwa nje…