ONESHO LA JAPAN ‘I LOVE SUSHI’ LAZINDULIWA RASMI MAKUMBUSHO YA TAIFA
………………… Onesho liitwalo ‘I Love Sushi’ lililoandaliwa na Ubalozi wa Japan nchini kwenye Makumbusho ya Taifa la Tanzania katika Kituo cha Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni jijini Dar es Salaam limezinduliwa na Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana, Waziri wa Maliasili na Utalii, leo tarehe 19 Septemba 2025. Onesho hilo limelenga kuonesha ustadi wa safari ya…