
Paresso: Huyu ndiye Samia wa miaka mitano ijayo
Mageuzi ya kiuchumi yaliyotokana na ubunifu na utekelezaji wa miradi mikubwa na ya kimkakati nchini Tanzania, yanatajwa kuwa miongoni mwa sababu kwa Watanzania kukichagua Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wagombea wake, akiwemo Samia Suluhu Hassan anayewania urais. Kukamilika kwa miradi mikubwa ikiwemo ujenzi wa Bwawa la Umeme la Mwalimu Nyerere, Daraja la Kigongo-Busisi mkoani Mwanza,…