Ripoti za madhara ya dawa, chanjo zafikia 10,000
Mwanza. Idadi ya ripoti za maudhi na madhara yatokanayo na matumizi ya dawa, chanjo, vifaa tiba na vitendanishi nchini imeongezeka kwa kasi, kutoka ripoti 200 mwaka 2020 hadi zaidi ya 10,000 kwa mwaka, kwa mujibu wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA). Kwa mujibu wa TMDA, ongezeko hilo linatokana na uhamasishaji uliofanyika kwa watumiaji na…