Pacome afungua code Yanga, amtaja Mfaransa

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Pacome Zouzoua jioni ya jana alikuwa Angola kucheza mechi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Wiliete Banguela, lakini mapema alitoa kauli ya kibabe kwa timu pinzani zitakazokutana na wababe hao wa Tanzania katika michuano yote. Nyota huyo aliyeifunga Simba kwa mara ya tatu katika mashindano tofauti, alisema kwa…

Read More

Phiri aipa ujanja Simba Afrika

SIMBA imetabiriwa inaweza kufanya vizuri katika Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu, lakini iwapo tu, wachezaji wa timu hiyo watakuwa tayari kupambana kwa jasho na damu wakijengwa na utulivu utayari, uzalendo na kulinda viwango vyao kwa kuzingatia vitu vya msingi. Ujanja huo umetolewa na nyota wa zamani wa kikosi hicho, Mzambia Moses Phiri alipozungumza na…

Read More

DKT.NCHIMBI ATUA RASMI SONGEA KUSAKA KURA ZA CCM

Mgombea mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dk Emmanuel Nchimbi amewasili Songea, mkoani Ruvuma leo Septemba 19, 2025. Dk Nchimbi ataungana tena na Mgombea urais wa chama hicho, Dkt.Samia Suluhu Hassan anayetarajiwa kuwasili kesho ambapo watakutana mkoa mmoja tangu Agosti 28, mwaka huu walipozindua kampeni za chama hicho…

Read More

Ripoti mpya inachunguza unyanyasaji dhidi ya wanawake na wasichana kupitia uchunguzi, Spark Global Mazungumzo – Maswala ya Ulimwenguni

Umoja wa Mataifa Maalum wa Mataifa Reem Alsalem. Mkopo: UN PICHA/LOEY FELIPE Na Jennifer Xin-Tsu Lin Levine (Umoja wa Mataifa) Ijumaa, Septemba 19, 2025 Huduma ya waandishi wa habari Umoja wa Mataifa, Septemba 19 (IPS) – Ripoti ya Umoja wa Mataifa inayotaka kukomeshwa kwa ulimwengu wa uchunguzi imesababisha mjadala mkubwa kati ya wataalam, na wakosoaji…

Read More

WAAJIRIWA WAPYA ARDHI WATAKIWA KUWA WABUNIFU

Na Munir Shemweta, WANMM Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhandisi Anthony Sanga amewataka waajiriwa wapya wa Wizara hiyo kuwa wabunifu sambamba na kuwajibika ipasavyo ili kuboresha utendaji kazi katika maeneo waliyopangiwa. Mhandisi Sanga ametoa kauli hiyo tarehe 18 Septemba 2025 wakati wa Mafunzo ya Awali kwa waajiriwa wapya 312 watakaohudumu…

Read More

Mashine ya uhamishaji ya Trump – maswala ya ulimwengu

Mikopo: Leonardo Fernandez Viloria/Reuters kupitia picha za Gallo na Inés M. Pousadela (Montevideo, Uruguay) Ijumaa, Septemba 19, 2025 Huduma ya waandishi wa habari Montevideo, Uruguay, Septemba 19 (IPS) – maelfu ya Waafghanistan ambao walikimbilia USA wakati Taliban ilichukua mnamo Agosti 2021 sasa wanakabiliwa Matarajio ya kufukuzwa kwa nchi ambazo hawajawahi kwenda. Watu ambao walihatarisha kila…

Read More