TEC yatoa taarifa misa ya kumuaga Askofu Mkuu Rugambwa

Dar es Salaam. Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), limetoa taarifa ya mazishi ya Askofu Mkuu, Novatus Rugambwa, aliyekuwa Balozi wa Papa nchini New Zealand. Askofu Mkuu Rugambwa alifariki dunia Septemba 16, 2025 akiwa Roma, nchini Italia. Taarifa hiyo iliyotolewa leo Septemba 19, 2025 imeeleza Sekretarieti ya TEC inawafahamisha makardinali, maaskofu wakuu, maaskofu, mapadri, watawa…

Read More

WATUMISHI WIZARA YA NISHATI WAPATIWA ELIMU YA MATUMIZI SAHIHI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA.

……………….. 📌 Ni baada ya Dkt.Biteko kuwakabidhi  majiko yanayotumia umeme kidogo (Induction Cookers). 📌 Yaelezwa kuwa majiko hayo yanatumia umeme kidogo kwa gharama ndogo Watumishi wa Wizara ya Nishati leo wamepata  elimu ya matumizi bora na sahihi ya majiko yanayotumia umeme kidogo  ( Induction cookers) baada ya kukabidhiwa majiko hayo na Naibu Waziri Mkuu na…

Read More

Nyalusi aacha simanzi, viongozi Chadema, wananchi wamlilia

Iringa. Kifo cha Frank Nyalusi, aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa Jimbo la Iringa Mjini, kimeacha simanzi miongoni mwa wanachama wa chama hicho, viongozi wa kisiasa na wakazi wa Mkoa wa Iringa kwa ujumla. Nyalusi amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, Septemba 19, 2025, akiwa hospitalini kwenye chumba cha wagonjwa wanaohitaji…

Read More

Yanga mwendo mdundo, yaizima Wiliete kwao

‘NO Aucho No problem!’ Ndivyo mashabiki wa Yanga kwa sasa wanatamba mtandaoni, baada ya kiungo mkabaji, Aziz Andabwile kugeuka lulu kikosini na kuendelea kuwapa raha pale jana alipofunga bao tamu wakati timu hiyo ikiizamisha Wiliete Benguela ya Angola kwa mabao 3-0. Katika mechi hiyo ya kwanza ya raundi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika…

Read More

Maswali kutekwa mwanafunzi, kuuawa na mwili kuchomwa

Mbeya. Aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu Mzumbe ndaki ya Mbeya, Shairose Mabula ameuawa kikatili kisha mwili kuchomwa moto, tukio lililoibua simanzi na maswali lukuki. Mwili wa mwanafunzi huyo ukitarajiwa kuzikwa kesho Jumamosi, Septemba 20, 2025, baba yake mzazi, Dk Mabula Mahande, amesimulia tukio hilo huku akiliomba Jeshi la Polisi kuongeza nguvu kuwabaini na kuwakamata waliohusika….

Read More

AAFP yaahidi kupaisha bei ya karafuu hadi Sh50,000 kwa kilo

Pemba. Mgombea wa urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Wakulima (AAFP), Said Soud Said, amesema maono yake ni kuleta mabadiliko, iwapo wananchi wakimchagua atahakikisha anabadilisha maisha ya Wazanzibari, hususan wakulima wa karafuu. Mgombea huyo ametoa kauli hiyo leo, Septemba 19, 2025, wakati akizungumza na viongozi, wananchi na wanachama wa chama hicho katika mkutano wa hadhara…

Read More

ishu ya Fadlu kuondoka iko hivi

BAADA ya dabi kumalizika na Simba kupoteza kwa mara ya sita mfululizo mbele ya Yanga, mjadala mkubwa kwa sasa ni kocha wa Wekundu wa Msimbazi, Fadlu Davids ikielezwa yupo mbioni kupigwa chini, lakini kumbe ukweli wa mambo wala sivyo ulivyo kama ilivyosambaa mtandaoni. Tangu jana jioni kumekuwa na taarifa kwamba huenda Fadlu asirejee na kikosi…

Read More

ORYX GAS NA TCRF WAZINDUA JIKO LA NISHATI SAFI SHULE YA SEKONDARI YUSUF MAKAMBA

::::::: Na Mwandishi Wetu KAMPUNI ya Oryx Gas Tanzania imeendelea kuunga juhudi za Serikali katika matumizi ya nishati safi ya kupikia imeshirikiana na Tanzania Communities Rise Foundation(TCRF) kuzindua jiko linatumia mfumo wa nishati safi katika Shule ya Sekondari Yusuf Makamba iliyopo Dar es Salaam lengo likiwa kuondoa matumizi ya mkaa katika shule hiyo yenye wanafunzi…

Read More